TANZANIA ITASHIRIKI KWA MARA YA KWANZA MASHINDANO YA KWANZA YA KOMBE LA DUNIA KWA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU MICHUANO ITAKAYO FANYIKA DURBAN, AFRIKA YA KUSINI. MASHINDANO YAKILENGA KUBADILI MAZINGIRA YA MAISHA YA WATOTO HAO NA MTAZAMO WA JAMII INAYOWACHUKULIA KAMA WATUKUTU ILI KUWAFANYA WATOTO HAO WAWE NA THAMANI STAHILI.PICHANI KATIKATI MKURUGENZI WA TANZANIA STREET CHILDREN ACADEMY BW. MANSOOR AKIFAFANUA JAMBO NA PAMBENI YAKE NI KOCHA SILVESTER MASHI(TISHRT YA KIJIVU) MRATIBU WA TSC SPORT ACADEMY MUTANI YANGWE AKIONESHA VIBALI VYA MCHAKATO MZIMA. MPANGO HUU UTAKAOPELEKA WATOTO 9 SAUZI UTAANZA TRH 26 HADI 29 JAN 2010 KWA KUZISHIRIKISHA TIMU ZA VITUO MBALIMBALI VYA WATOTO YATIMA MWANZA CHINI YA KOCHA SILVESTER MASHI AMBAYE BAADAYE ATAUNGANA NA MAKOCHA TOKA FIFA NA WA FA (ENGLAND). MANSOOR AKA DOGO (ALIYESIMAMA) AKITETA NA BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI MHUKSIN MAMBO(KUSHOTO), ABDALLAH TILATA KULIA WOTE WA STAR TV KATIKA KTK MKUTANO HUO ULIOFANYIKA HOTEL YA KITALII MALAIKA ROCK CITY.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.