ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, June 26, 2009

BURIANI MICHAEL JACKSON


ILIKUWA NI SAA 11:25 ALFAJIRI YA TAREHE 26 JUNE 2009 NAAMKA KUJITAYARISHA KUWAHI HOSPITAL YA BUGANDO KUMJULIA HALI MOJA YA RAFIKI ZANGU AMBAYE KALAZWA KUFUATIA AJALI MBAYA YA PIKIPIKI ALOKUWA AKIENDESHA, ILE WAKATI NASUBIRI MAJI YAPATE MOTO KTK JUG LA UMEME NAWASHA TV- SKY NEW KUTIZAMA MAHABARI (NIA YANGU NIPATE MATOKEO KATI YA BRAZIL NA SOUTH AFRICA KWA MAANA NILIZIMA TV MARA BAADA YA BAO KUFUNGWA), NAONA NENO BREAKING NEWS MBELE YAKE* MICHAEL JACKSON IS DEAD* NAPATA MSHTUKO NARUDIA TENA NA TENA:;; KIFO CHA MFALME WA POP DUNIANI MICHAEL JACSON HAKIKA HUU NI MSHITUKO.
MFALME HUYU ALIYE ZALIWA MIAKA 50 ILIYOPITA INASEMEKANA AMEFARIKI KUTOKANA NA SHINIKIZO LA DAMU INGAWA SI KAULI RASMI TOKA KWA MADAKTARI.
NA INATAJWA KUWA WAKATI AMBULANCE IKIWASILI NYUMBANI KWAKE HUKO LOS ANGELOS NCHINI MAREKANI TAYARI MICHAEL JACKSON ALIKUWA HAPUMUI KABISAA NA ILIGUNDULIKA KUWA AMEAGA DUNIA PALE ALIPO FIKISHWA HOSPITALI YA CEDARS-SINAI.
MSIBA HUU UNAKUJA IKIWA NI MIEZI KADHAA TANGU THE WACO ALIPOTOKA KUSHEHEREKEA MIAKA 25 YA ALBUM YAKE THRILLER ILIYOPATA MAUZO YA JUU ULIMWENGUNI. MOJA YA SONGI ZAKE ZILIZO TIKISA DUNIA YA MAMA NI PAMOJA NA BLACK OR WHITE, YOU ARE NOT ALONE ,THE WAY YOU MAKE ME FEEL, SHE IS OUT OF MY LIFE, BAD, DANGEROUS NA NYINGINE KIBAO.

REST IN PEASE MICHAEL.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.