MAKONGONGO ROAD JIJINI MWANZA KUNA KITUO HIKI CHA MAFUTA AMBACHO NI MIAKA SASA KINATARATIBU HIZI:- KINAFUNGULIWA ASUBUHI NA KUFUNGWA SAA KUMI NA MBILI SHARP'' KISA MIAKA ILIYOPITA KILIVAMIWA NA MAHARAMIA WAKAPORA MAFUTA NA FEDHA NYINGI KISHA WAKAPOTELEA ZIWA VICTORIA LILILOPO UPANDE WA PILI WA BARABARA. NAULIZA HIVI ENEO HILI (tena liko mjini ukisikia pembezoni mwa ziwa usifikiri mbali la hasha eneo kubwa la mz town limezungukwa na ziwa) PALISHINDIKANA VIPI KUWEKA ULINZI WATU WAKAENDELEA KUPIGA MZIGO? napita kila siku jioni pamezungushiwa utepe.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.