ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, September 17, 2009

ANAYETUZIDI WOTE UREFU HUYU HAPA


SULTAN KOSEN TOKA NCHINI UTURUKI NDIYE MTU MREFU KULIKO WOTE DUNIANI. KWA KIPINDI KIREFU JAMAA HUYU ALIKUWA AKILIKACHA SUALA LA KUPIMWA. BAADA VIPIMO VYAKE KUPATIKANA KITABU CHA KUMBUKUMBU ZA MAAJABU YA DUNIA CHA GUINNESS KIMEMTAJA JAMAA HUYU MWENYE UREFU WA FUTI 8 NA NCHI 1 KAMA MWANADAMU MREFU KULIKO WOTE KATIKA SAYARI YA DUNIA ANAYEISHI. LICHA YA KUWEPO ALIYEKUWA AKISHIKILIA REKODI HIYO BWANA LEONID STADNYK WA UKRAIN ALIYEKUWA NA UREFU WA FUTI 8 NA NCHI 5.5 (picha kwa msaada wa AP) Guinness said he was stripped of his title when he decline to let anyone confirm his height.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.