LICHA YA MWANZA KUWA BUSTANI KALI ZA KUVUTIA ZILIZOKO KTK MAENEO YA HOTEL KANA TILAPIA, YUNG LONG ZAMANI IKIJULIKANA KAMA ROCK BEACH NA TUNZA LODGE. ENEO HILI NDILO LINAONGOZA KULAKI WAGENI KWANI KILA MWISHO WA WIKI HUSHEHENI MAHARUSI MBALIMBALI, LITIZAME KWA MAKINI LINATOFAUTI KUBWA NA LILE ULOZOEA LA KEEP LEFT.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
mandhari nzuri inavutia na ni pasafi, nilisikia watu hawaruhusiwi kupumzika humo lakini mbona naona wadau wapo kwa raha zao.
ReplyDeleteBMK