BABAKE! NDANI YA ROCK CITY TUNZA LODGE NI MOJA YA PLACE ZA KULA GOOD TIME "ASKWAMBIE MTU"MICHEZO MBALIMBALI MCHANGANI, SWIMMING NDANI YA ZIWA VICTORIA, MBIO ZA MITUMBWI ZIWANI, MAKAMPUNI MBALIMBALI HUFANYA BONANZA ZAO MAHALA HAPA. HUYO JAMAA ALIYEKULA POZ NI LESHONTE EDGAR MAPANDE WA KAMPUNI YA MAWASILIANO YA SIMU ZA MIKONONI TIGO AKILA GOOD TIME MWISHONI MWA WIKI.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.