WADAU WA LAKAIRO HOTEL WAKIJUMUIKA NA WAGENI WAALIKWA KATIKA MAMBO YA KUSEREBUKA KTK HARUSI YA BWANA ZAKARIA NDONGO ALIYEFUNGA PINGU ZA MAISHA NA BIBI AMINA ALLY, SHEREHE KWELI KWELI..
HAPA NI MIE + UNCLEEE
BW. ZAKARIA NDONGO NA BI. AMINA ALLY WAKIFUNGUA MUZIKI KATIKA SHEREHE YA HARUSI YAO ILIYOFANYIKA JANA UKUMBI WA NEW MWANZA HOTEL NAKUFANA SANA.
MAMBO YETU YALEEE DANCE KUJIACHIA.
WAU BI HARUSI AMINA ALLY NA SHOSTITO WAKE NDANI YA HUG.
EH BANAEE! ENGO HII ILIKUWA BIZE ILE MBAYA KWANI KILA MMOJA ALIINGIA KATI KUONESHA MARINGO YAKE... UTAIPENDA.
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.