ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, July 1, 2009

HASHEEM THABEET IPEPEE MWANA


AKIZALIWA KAMA HASHIM THABIT MANKA FEBR16/1987 DAR ES SALAAM JAMAA KESHA INGIA KTK MOJA YA LIGI YENYE USHINDANI NA ILIYO MAARUFU ULIMWENGUNI(NBA). ANAUREFU WA FUTI 7 NCHI 3 NA UZITO WA KILO 119. THABEET AMESHAWEKA HISTORIA YA KUWA MCHEZAJI WA KWANZA KUCHEZEA HUSKIES KWA UREFU HUO. HAKUWAHI KUCHEZA BASKET WALA KUWA NA MAPENZI NA MCHEZO HUO HADI ALIPOTIMIZA UMRI WA MIAKA 15 AKIWA KATIKA SHULE YA SEC YA MAKONGO. JAMAA MMOJA ALIVUTIWA NA UREFU WAKE AKAMWAHIDI KUMPATIA VIATU VYA KUCHEZEA NA KUMUALIKA KATIKA TIMU YAKE SIKU ILIYOFUATA, HAKULAZA DAMU, MCHEZO UKAMKOLEA! AKIWA KAMA MEMBA WA TIMU YA KULI AKACHAGULIWA KUWA MMOJA WA WAKILISHI KTK MICHEZO YA AFRIKA MASHARIKI ILIYOFANYIKA NAIROBI NCHINI KENYA AMBAPO MMOJA WA MAAJENTI ALIMWONA NA KUMPA OFA KWENDA KUPIGA KITABU KWENYE MOJA YA SHULE ZA BASKETBALL NCHINI MAREKANI. NDO IMETOKA.......

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. Jamaa namkubali first time nilikutana naye TANGA pindi aliporudi kutoka Nairobi-Kenya!
    Jamaa ni mrefu usipime binafsi nakubali jamaa atatutoa Wana basketball wote nchini!
    Hiyo ndo changamoto kwa wadau wote na wachezaji wt wa mpira huu!Nadhani kina Abdallah(dullah) mtakuwa mnajua naongea nini!
    Wakina Dibo,Makene,Kisoki,Kusiga na wanangu wengine wa vijana msichoke kama jamaa alivyokuwa ana fight kutafuta namba!
    Hamna siri kwani jamaa ameanza kikapu sisi tulikuwa tunamuona!wazee tukaze buti!Ni hayo tuu!!

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.