| Pipani nikiwa na brother Sunday Mkumbukwa. |
Kideo Angani
| Airport Mwanza. |
| Clouds...... |
| Dar es salaam at Nyerere Air port. |
| Mipipa mingineyo... |
| Huduma... |
| Wengine mlango wa nyuma. |
| Ruti ya kwanza kugonga visa kwa brother yangu Adam Sengo at Mwenge. |
| Kisha mjengoni namkuta 'Your girl frend favorite prizenta' aka Baba Joniiii.....akikamua kipindi na Dj Steve B hayupo pichani (mcheki chini) |
| Mie na Dj. Steve B. |
| Ze interview ya Adam Mchomvu na Stoper Rhymes. |
| Ibra De Hustler (kulia) akizungumza kwa hewa ndani ya Clouds Fm pembeni ni Stoper Rhymes wakisanukisha Bongo Flevani. |
| Jiografia ya Bongo fleva toka kona hii. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment