ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, October 5, 2009

MVUA YA DAKIKA CHACHE TU LAKINI......






MKOANI MWANZA MVUA ZIMEANZA KUNYESHA NA JIJI LILISAFISHA MIFEREJI YA MAJI SAMBAMBA NA KUKARABATI MIFEREJI HIYO LAKINI CHA KUSHANGAZA MVUA YA NUSU SAA HALI IMEKUWA HIVI. NA SEHEMU HIZI ZILIZOKO KATIKATI YA JIJI ZILI ZIBULIWA. NI KWAMBA MITARO NI MIDOGO KUDHIBITI MAJI YATIRIRIKAYO AU HAITOSHI AMA AU?? CHUNGUZAGA.......

Tupe maoni yako

2 comments:

  1. dah,hapo kuna tatizo la miundo mbinu mvua kidogo tu hali hiyo??manispaa wajipange.albert we ni mwenyeji wa wapi? yaan asili yako kabisa.kwenye profile yako hujasema zaidi ya kuzaliwa arusha na sasa unaishi mwanza.nasubiri jibu

    ReplyDelete
  2. Kaka Albert G Sengo.
    Amani, heshima na upendo kwako.
    Nimefurahi kufika hapa na nakupongeza kwa kazi uifanyayo.
    Nikirejea kwenye mada ama maswali, nashukuru kuwa nawe umeyaona. Nami niliyauliza maswali ya hivi kuhusu kudharau miundombinu na kuwekeza katika mazingira ya nje tu. Sijui hapo tunategemea mwekezaji atakubali vipi kuwekeza Mwanza? Unaweza kurejea makala yangu kuhusu hili kwa kufuata link hii http://changamotoyetu.blogspot.com/2009/09/tanzania-yangu-ijengayo-ghorofa-bila.html
    Na pengine wewe mwanahabari waweza pia kunisaidia kujibu maswali mengi ninayouliza katika kipengele changu cha TANZANIA YANGU ambacho unaweza kukifuata kwa link hii http://changamotoyetu.blogspot.com/search/label/Tanzania%20yangu

    Tuko pamoJAH kaka.
    Blessings

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.