Kikundi cha sanaa Upendo daima toka Nyegezi Malimbe mkoani Mwanza kikionyesha sanaa zake.
Mkusanyiko wa vikundi mbalimbali vya wanafunzi toka shule mbalimbali mkoa wa Mwanza wakiimba wimbo tunalia.
Mkusanyiko wa vikundi mbalimbali vilivyojumuika katika uwanja wa Furahisha kirumba Mwanza kuadhimisha Siku ya mtoto wa Afrika.
Katibu tawala msaidizi, mkoa wa Mwanza akionyesha tuzo alizo tunukiwa mkuu wa mkoa kwenye sherehe hizo zikiwa ni Zawadi maalum kwa mkuu wa mkoa wa Mwanza Abass Kandoro, kwa mchango wake kwa watoto.
Katibu wa baraza la watoto la Mwanza na Kitaifa Sekela Richard akipokea zawadi yake toka kwa Mh. mgeni rasmi.
Mchezo wa kuigiza toka kwa watoto ulio sisimua wengi juu ya manyanyaso kwa watoto.
Wadau meza kuu wakitafakari hili na lile.
Tuzo ya uwakilishi bora Kombe la Dunia 2010 Durban South Africa hawa ndiyo wawakilishi wetu Tanzania street stars ambao makazi yao ni jijini Mwanza wakiwa na kiongozi wao.
Ziwani shule ya msingi na zawadi yao.
Shule ya Sekondari ya Kabuholo na Zawadi zao walizotunukiwa mara baada ya kufanya vizuri kwenye kwa maendeleo ya shule kikanda na michezo.
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.