KUNA MAZINGIRA MENGINE KUYATIZAMA TIBA TOSHA KABISA KWA MASAHIBU YA DUNIA PENGINE HATA MARADHI, PINDI UTAKAPO ZURU ENEO HILI KAULI YAKO YENYE VIMELEA VYA MSHANGAO ITAKUWA "AISEEE!"
TEMBO YU MNYAMA MKUBWA KWA UMBO, MWENYE NGUVU ANAYE OGOPEKA ILE HALI ASILI YAKE NI UPOLE KUNA JAMAA YANGU DAVID MICHAEL MFANYAKAZI KTK KAMPUNI MOJA YA KUTEMBEZA WATALII MBUGANI KWA KUFAHAMU TABIA ZA WANYAMA HUDIRIKI KUTEMBEA KWA MIGUU KATIKA MBUGA HATA AWAKARIBIE WANYAMA NA WASIMDHURU. "AYAAAA"
MNYAMA SWALA ANA KILA AINA YA SIFA KUTEMBEA, UMBO LAKE HALIKADHALIKA RANGI YAKE.''DUUH''
Tupe maoni yako
tanzaniaa tanzaniaa
ReplyDeletenakupenda kwa moyowotee
nchi yangu tanzania
jina lako ni tamu sanaaa!