IJUMAA IKO PALE NA ITAENDELEA KUWA PALE NA KAMA KAWAIDA YA BLOGU HII KILA IJUMAA KUANIKA MOJA YA PICHA ZA LONGI.... CHEKISHIA HII NI YA WAJANJA WA MJINI, KUTOKA KUSHOTO NI BLAZA MWITA WA VSS ENTERTAINMENT (chini kakugongea kitu cha zico), DJ SUMMER DANCE (Dj summer dee) NA JACKOB USUNGU (Dj young millionaire, aliyekuwa akiendesha roving dj STAR TV). SWALI NI KWAMBA POZI HILI WANATAFAKARI NINI :- @ KUNA JAMAA ALITAMBAA NA MKWANJA WAO? @ JENGO LA DISCO LILIKUWAKWENYE MPANGO WA KUBOMOLEWA? @ AU WALIPATA TAARIFA ZA MASIKITIKO? NITUMIENI MASWALI ktk email hii albertgsengo@yahoo.com HAITOISHIA HAPO NITAWATAFUTA WAO WENYEWE WANAMBIE........ kisha ntakuanikia mzazi.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.