SIKU MOJA KABLA YA USIKU MAALUM WA TRH 23 VODACOM MISS TZ ALITOA MSAADA KWA WATOTO WANAOISHI KTK MAZINGIRA MAGUMU. WAHENGA WARONGA KUTOA NI MOYO USAMBE NI UTAJIRI" NAKILICHOFUATA KIKAWA.......ZAMU YA....
MISS TZ ALIVUTIWA SANA NA TUMBUIZO NA GHANI ZA MRISHO MPOTO AKA MJOMBA, AWALI NILIHAMAKI EH! MJOMBA ANAVISHWA TAJI?! NIKACHEKI VIZURIII... NIKAULIZIA NIKAAMBIWA KWA MILA ZA WATU WA KANDA YA ZIWA KUMTUNUKU MTU ZAWADI HUFANYWA KWA STYLE HII. IWE SUFURIA, VYUNGU, VYOMBO VYA NDANI, PESA NA MALI ZA AINA YOYOTE ZA KUBEBEKA KWA MKONO HUU NDO MPANGO. CHUKUWA HII.
.CLOUDS FM WAKOSEKANE KATIKA JAMBO ZURI NANI KASEMA!! MWAKILISHI WAKE ALBERT G.SENGO AKIPOKEA SHAHADA YA SHUKURANI TOKA FLORAH TALENT PROMOTION MTOAJI AKIWA VODACOM MISS TANZANIA MIRIAM GERALD TUKIO HILI LILIFANYIKA NDANI YA UKUMBI WA NYUMBANI HOTEL. BAADA YA KUTUNUKIWA SHAHADA YA SHUKURANI TOKA FLORAH TALENT PROMOTION MENEJA WA VODACOM TANZANIA MR. MAFURU AMBAO NDIYO WADHAMINI WAKUU ALIKUWA NA YAKE MACHACHE MAZITO YA KUSEMA.. HAKIKA ALISTAHILI KUSEMA. MAMA NYIMBO JINA KUBWA KATIKA SHUGHULI ZA UPAMBAJI ROCK CITY DECORATION ZAKE USPIMEEE! SHAHADA YA SHUKURANI TOKA KWA FLORA TALENT PROMOTION IKIENDA KWA KAMPUNI YA BIA TANZANIA MPOKEAJI MR. ROBERT MENEJA MAUZO TBL SHINYANGA.
Arusha Yasimama Kwenye Maombi: Miaka 63 ya Uhuru
-
Viongozi wa dini ,mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda na wananchi
wakiendelea na maombi katika matembezi ya kuombea mkoa wa Arusha na
maathimisho ya mi...
Visiting your blog
ReplyDelete