Tupe maoni yako
AFCON 2025: Je, fainali itakuwa 'mchezo wa mwisho' wa Mané na timu ya taifa
ya Senegal?
-
Sadio Mané ataisaidia Senegal kushinda taji dhidi mwenyeji Morocco baada ya
mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 kusema hii itakuwa “fainali yake ya
mwish...
1 hour ago
asante sana kwakutuletea habari napicha za Arusha endelea kutuabarisha sis tulioko nje ambaye wengine tumetokea ARUSHA siku nyingi tunapenda tujue kinachoendelea nafurahi sana unapo turushia picha za Arusha naomba uturushie picha za maeeneo yamianzini na sanawari ubarikiwe na kazi yako nzuri na mungu azidi kukubariki
ReplyDeletehaina shaka nitafanya juu chini kulikamilisha hilo la tamani ya roho yako.
ReplyDelete