Tupe maoni yako
Mpango wa Mafunzo wa Mradi wa FORLIVES Waimarisha Kilimo na Maendeleo ya
Jamii katika Mkoa wa Tanga
-
Na: Calvin Gwabara –Tanga.
Mkoa wa Tanga umepiga hatua kubwa katika utekelezaji wa programu za mafunzo
ya jamii (CBT) zinazolenga kuboresha mbinu ...
35 minutes ago
nilifikiri kwetu Nyakato hupapendi maana nilikuwa sioni picha au taarifa yoyote kutoka Nyakato. Nimefurahi kuona maeneo niliyozaliwa na kukulia. Buzuruga, Nyakato mwananchi au wenyewe wanapaita california, Nyakato Mecco Nyakato Sokoni nakwingineko mbona burudani.........
ReplyDeletebm
uk
Nilitaka kusikiza wimbo wa Mwanza ooh Mwanza, Mwanza mji mzuri sio kuangalia picha za hoteli na wazungu. Nitausikilizaje wimbo huo?
ReplyDeleteah ROCKY CITY hapo dah sijui nitarudi lini,,,big up to all my friends at makoroboi street,,seko...tosh

ReplyDelete