Aliyekuwa Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Benki Kuu Amatus Liyumba akiwa kizimbani dakika chache baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kutumua vibaya madaraka wakati wa ujenzi wa maghorofa pacha ya benki hiyo jijini Dar. Mahakimu wawili kati ya watatu walimwona Liyumba ana hatia wakati mmoja alimwona hana hatia. Hata hivyo kwa mujibu wa sheria ya wengi wape, hukumu ya miaka 2 inasimama.
Liyumba akishauriana na mawakili wake baada ya hukumu. PICHA ZOTE NA HABARI BY. ISSA MICHUZI
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.