KATIKA KUSHEREHEKEA SIKUKUU YA WAPENDANAO DUNIANI FEB 14 "VALENTINE" HIVI NDIVYO CLUB YAKO MAARUFU STONE CLUB MWANZA ILIVYOJIPANGA KUKUBURUDISHA WEWE NA UMPENDAYE PAMOJA NA RAFIKI ZAKO.
# Tatua Utata katika bango hili -mpangilio wa graphics sawa. JE! rangi zilizotumika?
kaka! mi naona mwaka huu valentaini wa2 wanatakiwa wavae ngou za rangi ya buluu na sio nyekundu, maana dizaina wa hilo tangazo kaja na wazo hilo. sisi tulizoea rangi ya valentaini ni nyekundu. ama kweli hii ndo twenti teni (2010).
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...

ReplyDelete