ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, December 3, 2011

RASHIDI MATUMLA 'MTOA SUMU' AJIFUA KUMKABILI MANENO OSWARD 'MTAMBO WA GONGO DESEMBA 25

Bondia Rashidi Matumla (kulia) akioneshana ufundi wa kutupa masubwi na Mohamedi Matumla wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano na bondia Maneno Osward Desemba 25 katika ukumbi wa Henlken Kijichi Dar es salaam.

Ngumi ndonga masubwi mwanzo mwisho.

Rashidi Matumla akiruka Kamba katika Kambi yake ya Mazoezi iliyopo Keko Dar es salaam leo.

Rashidi Matumla 'Mtoa Sumu' akipiga panch Bang wakati wa mazoezi yake kabla ya kumkabili bondia maneno Osward Desemba 25.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. Rashid Matumla ni bondia anayeheshimika hata mahali anapofanyia mazoezi kwa kweli angepiga rangi ili paendane na hadhi yake

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.