Bondia Rashidi Matumla (kulia) akioneshana ufundi wa kutupa masubwi na Mohamedi Matumla wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano na bondia Maneno Osward Desemba 25 katika ukumbi wa Henlken Kijichi Dar es salaam.
Ngumi ndonga masubwi mwanzo mwisho.
Rashidi Matumla akiruka Kamba katika Kambi yake ya Mazoezi iliyopo Keko Dar es salaam leo.
Rashidi Matumla 'Mtoa Sumu' akipiga panch Bang wakati wa mazoezi yake kabla ya kumkabili bondia maneno Osward Desemba 25.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
TASAC yatoa elimu ya Utunzaji wa Mazingira, Dodoma
-
*Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania TASAC, leo tarehe 02 Juni, 2025
limetoa elimu ya utunzaji wa mazingira majini kwa wadau waliotembelea banda
lao jiji...
Rashid Matumla ni bondia anayeheshimika hata mahali anapofanyia mazoezi kwa kweli angepiga rangi ili paendane na hadhi yake
ReplyDelete