Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijijini Dar es Salaam imemwachia huru na kuwafutia mashtaka aliyekuwa 'JEMBE' Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Jerry Muro pamoja na washtakiwa wenzake wawili ambao ni Edmund Kapama na Deogratius Mgasa waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya kuomba rushwa ya tsh.10 milioni.
Tupe maoni yako
Mungu ni mkubwa, huwatetea wote walio na haki.
ReplyDeleteHongera sana kaka kaifaidi ndoa yako bila ya wasiwasi, naendelea kujituma kazini kwani alipo Mungu mwanadamu hana nafasi ishi kwa kumwamini Mungu utashinda kila lililo baya.
ReplyDeletehongera kamanda!
ReplyDelete