ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, October 2, 2012

MAUNO YA KADOGOLI NI FULL UTALII MWANZA



Kwa jiji la Mwanza kuna kundi la ngoma asili laitwa Kadogoli likihusisha vijana kutoka kisiwa cha Ukerewe. Eh bana ee kwetu ni sehemu ya utalii... eNjOy...!!!

Tupe maoni yako

3 comments:

  1. Hapo hapo...watu weweeee nimewahi kusikia jina la ngoma kwetu/songea twaiita MADOGOLI ...

    ReplyDelete
  2. Luga shabihiana kama leka tutigike... Aaaah mambo ya Kibantuuuu!!! @ Yasinta

    ReplyDelete
  3. Nkabaa nimekuongezea mzigo wa pili ndugu mtizamaji....

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.