Azam wasema wao ndiyo waliopaswa kuwa mabingwa wa Kombe husika. Jeh! ndugu mtazamaji kwa mujibu wa video hii uliyoiona, unadhani Azam Fc wako sahihi kwa walichokisema?
kweli hao marefa nakumbua miaka ya tisini katika uwanja wa nyamagana mzee kinye nusu afe kwa kipigo toka kwa wachezaji wa buluba ya malampaka kwa vitendo kama hivi mungu inusuru ligi ya tanzania mungu inusuru tanzania
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
kweli hao marefa nakumbua miaka ya tisini katika uwanja wa nyamagana mzee kinye nusu afe kwa kipigo toka kwa wachezaji wa buluba ya malampaka kwa vitendo kama hivi
ReplyDeletemungu inusuru ligi ya tanzania mungu inusuru tanzania