ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, September 20, 2012

HIVI NDIVYO SIMBA ILIVYOSHINDA KWA MSAADA.

 Azam wasema wao ndiyo waliopaswa kuwa mabingwa wa Kombe husika. Jeh! ndugu mtazamaji kwa mujibu wa video hii uliyoiona, unadhani Azam Fc wako sahihi kwa walichokisema?

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. kweli hao marefa nakumbua miaka ya tisini katika uwanja wa nyamagana mzee kinye nusu afe kwa kipigo toka kwa wachezaji wa buluba ya malampaka kwa vitendo kama hivi
    mungu inusuru ligi ya tanzania mungu inusuru tanzania

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.