ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, April 24, 2011

PICHA YA LEO.

Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour (TLP), Augustino Mrema ambaye pia ni Mbunge wa Vunjo, akihutubia wananchi wa Manispaa ya Morogoro kwenye viwanja vya Fire mjini humo, wakati wa mkutano kujadili amani na kuienzi ulioandaliwa na uongozi wa taasisi ya Alshabab Islamic Daawah ya Morogoro. (Picha na John Nditi).

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. Hakuna mtu aliyeharibikiwa kimwili na kiroho kama huyu mwizi aitwaye Augustine Mrema. Hivi wakati huu anaweza kumhadaa na kumpata nani? Bahati mbaya sana kwa Mrema bado anafikiri huu ni wakati wa ruksa alipokuwa waziri. CCM wamezidi kumdhalilisha huyu bingwa wa kujikomba. Wanazidi kumtumia wakati afya yake ni ugogoro mtupu. Nenda Lyatonga. Nenda ukale ugali na Idd Amin

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.