Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour (TLP), Augustino Mrema ambaye pia ni Mbunge wa Vunjo, akihutubia wananchi wa Manispaa ya Morogoro kwenye viwanja vya Fire mjini humo, wakati wa mkutano kujadili amani na kuienzi ulioandaliwa na uongozi wa taasisi ya Alshabab Islamic Daawah ya Morogoro. (Picha na John Nditi).
Hakuna mtu aliyeharibikiwa kimwili na kiroho kama huyu mwizi aitwaye Augustine Mrema. Hivi wakati huu anaweza kumhadaa na kumpata nani? Bahati mbaya sana kwa Mrema bado anafikiri huu ni wakati wa ruksa alipokuwa waziri. CCM wamezidi kumdhalilisha huyu bingwa wa kujikomba. Wanazidi kumtumia wakati afya yake ni ugogoro mtupu. Nenda Lyatonga. Nenda ukale ugali na Idd Amin
Pesa Zipo na Meridianbet Leo
-
ALHAMISI ya kijanja na Meridianbet imefika ambapo Europa League na
Conference League hatua za Robo Fainali mechi za kwanza zinapigwa leo. Timu
za ushi...

ReplyDelete