Hicho kiatu....... watu walivua kweli kujumuika nae mwimbaji wa muziki wa injili Anastazia mukabwa.
Upendo Nkone akiruka kwa afya zake ndani ya utumishi tamasha la Pasaka Mwanza uwanja wa CCM Kirumba chini ya waandaaji Msama Promotion.
Hakika Mungu ni mwaminifu na wema wake, fadhili zake ni za milee ni maneno ndani ya wimbo usiochuja uitwao 'Mungu ni mwaminifu' wake Solomon Mukubwa toka nchini Kenya..
Christina Shusho akimwaga mibaraka kwa watu wa Mwanza..
Kwa Mungu kuna raha bhanna! ilipendeza sana na kuvutia wengi pale mwimbaji wa muziki wa injili Christina Shushoa alipo mwita Rose Muhando kucheza nae wimbo Ndoa, akichagiza zaidi watu kupendana ndani tamasha la aina yake la msimu wa pasaka jijini Mwanza lililoandaliwa na Msama Promotion..
Mwimbaji wa muziki wa Injili toka nchini Kenya Geraldin Oduor akiimba kwa hisia na pembeni akipewa sapoti na Christina Shusho (kushoto)..
Bonny Mwaitege akimkumbatia mmoja kati ya waimbaji mtoto mara baada ya kuimba kwa uzuri katika tamasha la pasaka CCM Kirumba..
Ni vijana wa Revival Mission Band wakiwa katika engo yao kama mashuhuda mara tu baada ya kuhudumu..
Nyuma ya sound walisimama rafiki hawa kutoka kushoto ni Samadu Abdul, Mzee wa Hossana blog na braza kutpka Kwaneema Fm Mwanza..
Hapa jee!.
Wanadada hawa walipendeza na magauni yao mazuri walichagua pahala hapa pa utulivu kushuhudia yanayojiri ndani ya Tamasha la pasaka lililoandaliwa na Msama Promotion..
Vijana anglican nyamanoro wakihudumu zao mbili kali.
Philadelphia kwaya kutoka Mwanza.
Shalom band.
Raha ya muziki wa injili hapa ilikuwa ni Rose Muhando jukwaani..
Ni jambo lisilofichika kwamba muziki wainjili unaraha yake bwana, mama huyu alinyanyuka kwenda kucheza na kijana huyu kudhihirisha kwamba raha aliyonayo.. \ Cameraaaaa... almuradi kila mmoja anataka kubaki na kumbukumbu yake nyumbani kwake..
MATOKEO YA USAILI TRA KUTANGAZWA APRILI 25.2025
-
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya Usaili wa
maandishi uliofanyika Machi 29 na 30 mwaka 2025 kwa watahiniwa walioomba
nafasi za...
MATOKEO YA USAILI TRA KUTANGAZWA APRILI 25.2025
-
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya Usaili wa
maandishi uliofanyika Machi 29 na 30 mwaka 2025 kwa watahiniwa walioomba
nafasi...
TUSUBIRI MAAJABU YA MEZA KUPINDULIWA LUPASO
-
KLABU ya Simba imeshindwa kutamba ugenini katika hatua ya robo fainali
mkondo wa kwanza dhidi ya Al Masry ya nchini Misri baada ya kupokea kipigo
ch...
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
sengo ungetuwekea player tusikiliza hizo kwaya
ReplyDeletegod good.
ReplyDeletehillo rose muhando you so good song may god bless you very much
ReplyDelete