FBG; wanahiphop toka chuga chuga wafungua mwaka na concious joint kuelezea hali halisi ya taifa le2 na maisha ya mtaa yanavotupelekesha huku viongozi wanafuja fedha ya mlipa kodi,Ngoma hi inakwenda kwa jina "inaniuma kwa roho" na imerekodiwa pande za noizmekah s2dio arachuga na harakati za kushoot video yake zilikwama kutokana na fujo kuzuka mjini arusha siku hiyo hiyo ilopangwa kushoot...FBG wanamalizia tape yao itayotolewa "FREE" na itakwenda kwa jina "codemixxing",collection hiyo itajumuisha pia wimbo huu na nyinginezo kibaona mwezi wa tatu mashabiki wategemee vibe za kumwaga
Habari ya midaa kaka albert sengo, jina naitwa Abou Shatry Nina kablog changu kazamani sana ila sasa nimeamua kukifungia kazi, Nipo washington Dc Blog jina inaitwa swahilivilla.blogspot.com Ningependa tu kupandisha mlingoti huu katika blog list yako. nikiwa kama. mwana habari ninahabarishe habari za njee na ndani ya nchi yetu. Huna nakuja kutembelea wakati mwengine nachomoa newz kutoka kwako. so nikaona acha nikuhabarishe huwenda ukapata newz za watanzania tunaoshi hapa washington Dc kupitia swahilivilla. Tupo pamoja kamanda sina lazaidi ila tutaongea zaidi utakapopata Ujumbe huu maana ninawza hata nikakucheki kwa njia ya simu, Aiight Homiee!! Wako Ebou Shatry Mitaa ya kavurugeni muondoke ndani ya washington Dc. Peace Out
Alhamis ya Kitajiri na Meridianbet Imefika
-
NI siku nyingine kabisa ya Alhamisi ambapo leo hii tutaenda kushuhudia Nusu
Fainali za pili za Europa League na Conference huku Meridianbet wakiweka
o...
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
Habari ya midaa kaka albert sengo, jina naitwa Abou Shatry Nina kablog changu kazamani sana ila sasa nimeamua kukifungia kazi, Nipo washington Dc Blog jina inaitwa swahilivilla.blogspot.com
ReplyDeleteNingependa tu kupandisha mlingoti huu katika blog list yako. nikiwa kama. mwana habari ninahabarishe habari za njee na ndani ya nchi yetu. Huna nakuja kutembelea wakati mwengine nachomoa newz kutoka kwako. so nikaona acha nikuhabarishe huwenda ukapata newz za watanzania tunaoshi hapa washington Dc kupitia swahilivilla. Tupo pamoja kamanda sina lazaidi ila tutaongea zaidi utakapopata Ujumbe huu maana ninawza hata nikakucheki kwa njia ya simu, Aiight Homiee!! Wako Ebou Shatry Mitaa ya kavurugeni muondoke ndani ya washington Dc. Peace Out