Tupe maoni yako
Serikali kuboresha malezi na makuzi ya waliorudia shule kutokana na utafiti
wa HakiElimu
-
NA EMMANUEL MBATILO, DODOMA
WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia watatumia matokeo ya tafiti Kuhusu
Hali ya Jumla ya Elimu na Makuzi ya Mtoto na Kureje...
19 minutes ago
Habari ya midaa kaka albert sengo, jina naitwa Abou Shatry Nina kablog changu kazamani sana ila sasa nimeamua kukifungia kazi, Nipo washington Dc Blog jina inaitwa swahilivilla.blogspot.com
ReplyDeleteNingependa tu kupandisha mlingoti huu katika blog list yako. nikiwa kama. mwana habari ninahabarishe habari za njee na ndani ya nchi yetu. Huna nakuja kutembelea wakati mwengine nachomoa newz kutoka kwako. so nikaona acha nikuhabarishe huwenda ukapata newz za watanzania tunaoshi hapa washington Dc kupitia swahilivilla. Tupo pamoja kamanda sina lazaidi ila tutaongea zaidi utakapopata Ujumbe huu maana ninawza hata nikakucheki kwa njia ya simu, Aiight Homiee!! Wako Ebou Shatry Mitaa ya kavurugeni muondoke ndani ya washington Dc. Peace Out