Tupe maoni yako
'Tutalinda uwezo wetu wa makombora na nyuklia' - Mojtaba Khamenei
-
Mojtaba Khamenei, amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu italinda “uwezo wake wa
nyuklia na makombora” kama rasilimali ya taifa.
7 hours ago
Mji wa mwanza unasehemu chache nzuri na nyingi Mbaya! ni vema mkaonyesha na sehemu nyingine ili watu wajue hali halisi. au tuonyeshe city kama Arusha ambako ni kuzidi hata hii mwanza kwa sehemu nzuri.
ReplyDeletewewe unaongea nini wew!!utafananisha mwanza na arusha.mwanza ni mji msafi na pia ht kimajengo wanamajengo mzr kushinda a town utake usitake!acha ushabiki!
Delete