Tupe maoni yako
'Iran itajibu mapigo tena ikishambuliwa'- Ayatollah
-
Ayatollah Ali Khamenei alisisitiza kuwa Marekani "haijapata mafanikio
yoyote" kutokana na mashambulizi yake dhidi ya vituo vya Iran vya nyuklia.
31 minutes ago
Mji wa mwanza unasehemu chache nzuri na nyingi Mbaya! ni vema mkaonyesha na sehemu nyingine ili watu wajue hali halisi. au tuonyeshe city kama Arusha ambako ni kuzidi hata hii mwanza kwa sehemu nzuri.
ReplyDeletewewe unaongea nini wew!!utafananisha mwanza na arusha.mwanza ni mji msafi na pia ht kimajengo wanamajengo mzr kushinda a town utake usitake!acha ushabiki!
Delete