DUKA LINAPATIKANA BARABARA YA LUMUMBA KARIBU NA SWEET CONNER BAR, UCHOCHORO WA GALAX PHARMACY DUKA LA 3.
VITU VYA UKWELI NI QUICK FOOT WEAR TU!.Tupe maoni yako
DUKA LINAPATIKANA BARABARA YA LUMUMBA KARIBU NA SWEET CONNER BAR, UCHOCHORO WA GALAX PHARMACY DUKA LA 3.
VITU VYA UKWELI NI QUICK FOOT WEAR TU!.Tupe maoni yako
Kwa sisi wakazi wa Kirumba jijini mwanza blog hii haionyeshi taswira halisi ya jiji letu bali kusifia na majengo yake kadhaa yaliyokuwepo. Hope umeona miji mingine ilivyo na haijisifii! Kwa ukweli hapa sihemu nzuri ni hizo tu ulizobandika hapo. Pls piga debe watukumbuke na sehemu hizi nyingine na si kushangaa vigorofa hivi vichache! Na kwa sasa biashara ya samaki imekimbia majengo haya 70% hayana hata wapangaji! ni Ishengoma, Kirumba.
ReplyDelete