Jumanne hii ya Tarehe 10 Machi 2026 kuanzia saa 11 jioni, tutakua na ibada ya vijana (GLORIOUS REVIVAL). IT’S A LIFE CHANGING SERVICE 🔥
Tutakua na praise & worship session, tukiongozwa na watumishi wa Mungu seed of life na waimbaji wengine; Mtumishi wa Mungu Pastor Panta atakuwepo kutuhudumia. KARIBU SANA, USIPANGE KUKOSA🔥Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment