NA FLORENCIA PETER/ KIGALI/RWANDA
Baada ya Uchaguzi kufanyika Nchini Rwanda je Wananchi niyapi Matarajio yao ? Kama anavyoeleza Bi Nshimimana Tatu Mkaazi wa Wilaya ya Nyamilambo Mkoa wa Nyarugenge Mjini Kigali Nchini Rwanda alipokutana na Mic ya Jembe Fm #rwandaupdate #rwandatoday #uchaguzimkuu_rwandaTupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment