ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, June 14, 2024

NHIF TANGA YAIBUKA MSHINDI WA UTOAJI HUDUMA BORA ZA AFYA KATIKA MAONYESHO YA 10 YA BIASHARA NA UTALII JIJINI TANGA


 Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoani Tanga  Evans Nyangasa  (kulia) akikabidhiwa Cheti cha Ushindi wa utoaji huduma za bima ya afya na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi ,Dkt Batilda Burian (kushoto) kwenye maonyesho ya 10 ya Biashara na Utalii yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Usagara Jijini Tanga na  yaliyomalizika mwishoni mwa wiki iliyopita

Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoani Tanga (kulia) Evans Nyangasa akikabidhiwa Cheti cha Ushindi wa utoaji huduma za bima ya afya na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi ,Dkt Batilda Burian (kushoto) kwenye maonyesho ya 10 ya Biashara na Utalii yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Usagara Jijini Tanga na  yaliyomalizika mwishoni mwa wiki iliyopita





Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.