YANGA SC KILA GOLI MILIONI 100 ZA KITANZANIA DHIDI YA MAMEMLODI.
RASMI: Muwekezaji wa klabu ya Yanga , Gharib Said Mohamed maarufu kwa jina la GSM ametoa ahadi kwa wachezaji wa klab ya Yanga kuwa atanunua kila goli litakalofungwa dhidi ya klabu ya Mamelodi Sundowns kwa Tsh 100 Milioni,
πGsm 100 Milioni
πRaisi Samia Suluhu 10
π01 Milion - Aziz Ki
π05 Milion - Mwigulu
π02 Milion - Mavunde
#SPORTSRIPOTI
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.