NA ALBERT G. SENGO/MWANZA
Mamia ya mashabiki wa soka na waombolezaji wamejitokeza kwa wingi hii leo nyumbani kwa marehemu Nassibu Mabrouk, Kiseke wilayani Ilemela mkoani Mwanza, kwaajili ya sala hatimaye mazishi nayo kufanyika katika makaburi ya Kiseke B, wilayani humo. PHILBERT KABAGO NI KATIBU WA SIMBA MWANZA NAYE AMEPATA NAFASI KUZUNGUMZA NA MWANAHABARI WETU GSENGO WA JEMBE FMTupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.