NA ALBERT G. SENGO/MWANZA
Mamia ya mashabiki wa soka na waombolezaji wamejitokeza kwa wingi hii leo nyumbani kwa marehemu Nassibu Mabrouk, Kiseke wilayani Ilemela mkoani Mwanza, kwaajili ya sala hatimaye mazishi nayo kufanyika katika makaburi ya Kiseke B, wilayani humo. Nassibu Mabrouk aliyewahi kuhudumu kwa mafanikio kama Katibu wa Chama cha soka mkoa wa Mwanza (MZFA) alifariki dunia ghafla siku ya ijumaa akiacha maswali mengi kwa waliomfahamu. Juma Msaka ni mwenyeki wa mtaa alioishi marehemu Nassib Mabrouk anasimulia aliyoyajua hadi umauti ulipo mkuta.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.