NA ALBERT G. SENGO/MWANZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwasili Mkoani Mwanza Jumatatu juni 12 Mwaka huu kwaajili ya uzinduzi wa Tamasha la BULABO ambalo limeandaliwa na kituo cha utamaduni cha Bujora pamoja na watemi Mkoani hapa kisha ratiba rasmi itafuata.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.