NA ALBERT G. SENGO/MWANZA
Jamii imeaswa kujiepusha na matumizi mabaya kwa neno 'Baharia', rai hiyo imetolewa hii leo na Waziri wa Ujenzi na uchumi wa Buluu Zanzibar Mhe.Suleiman Masoud Makame wakati akifungua wiki ya Maonesho ya Siku ya Mabaharia Duniani kitaifa inayofanyika katika Viwanja vya Furahisha vilivyopo Manispaa ya Ilemela, Jijini Mwanza. #mwanza #samiasuluhuhassan #kaziiendelee #SikuYaMabahariaDunianiTupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.