NA ALBERT G. SENGO/MWANZA
"Mwanza tulizindua master plan 2000-2025 ambapo inatuelekeza hususani maeneo ya mjini kati yanapaswa yaweje, inaenda mbali master plan hiyo na kuelekeza hadi majengo yanayopaswa kujengwa" "Moja ya ugomvi wangu mkubwa ni ujenzi holela............." Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza Mhe. Costantine Sima akizungumza na Paul Kadushi wa kipindi cha Mchakamchaka ya Jembe Fm.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.