ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, February 21, 2023

SIMBA NA AZAM FC ATAKAYECHUKULIA POA MCHEZO HUU AMELIWA

 NA SUZUKI DRUMDRUM

KAZI kubwa inatarajiwa kufanyika jioni ya leo saa moja kamili, Uwanja wa Mkapa kwa Dabi ya Mzizima kati ya Simba v Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa jijini Dar es salaam.

Unakuwa ni mchezo wa pili kwa wababe hawa kukutana baada ya ule uliopita wa mzunguko wa kwanza ubao kusoma Azam FC 1-0 Simba na kuwafanya Simba kuyeyusha pointi tatu muhimu. Msafiri Madanya wa Sports Ripoti ya Jembe Fm anafanya uchambuzi wa mchezo huo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.