ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, December 13, 2022

TALIA: WANAWAKE WATATU WAUAWA KWA RISASI KATIKA MGAHAWA


Inadaiwa kuwa mtuhumiwa wa mauaji hayo aliingia katika mgahawa uliopo Jijini Rome na kufyatua risasi ambazo pia zilijeruhi wengine wanne huku mmoja akiwa kwenye hali mbaya kiafya


Mtuhumiwa ambaye ana umri wa miaka 57, amekamatwa baada ya kuzidiwa nguvu na raia waliopambana kumdhibiti


Mmoja kati ya waliouawa ni Nicoletta Golisano, huyu ni rafiki wa Waziri Mkuu wa Italia, Giorgia Meloni.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.