ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, October 26, 2022

MAGONJWA YA MACHO NA TIBA ZAKE - ST CLARE HOSPITAL MWANZA WAFUNGUKA

 NA ALBERT G. SENGO/MWANZA

IDAARA ya macho ina sehemu kuu mbili nazo ni kliniki ya macho na chumba cha upasuaji wa macho. Jeh yapi magonjwa ya macho yanayo wakuta wengi? Vipi kwa wachomeleaji vyoma watumiao moto wenye wmanga mkali? Wako salama kiasi gani? Ungana na madaktari wataalamu wa Hospitali ya St. Clare inayopatikana Nyahingi Mkolani Jijini Mwanza.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.