NA ALBERT G. SENGO
TAREHE 25 October 2021 katu haitoweza kutoka vichwani mwa wapenzi wa burudani jijini Mwanza, kwani ni siku ambayo kiwanda chao tegemewa kinachozalisha burudani na chenye misosi havvy ya kila aina, The Cask Bar & Grill kiliungua na kuteketea kabisa kwa moto.
Ni mwaka mmoja sasa tangu kutokea kwa tukio hilo ambapo tarehe 29 itakuwa kilele, zawadi za kurejesha shukurani kwa wateja wake na burudani full kiwangu kushushwa kwa stage. Pata simulizi kabla ya siku yenyewe.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.