Wabunge wa Tanzania wamekataa kupokea ripoti ya Mto Mara iliyoandaliwa na Waziri wa Mazingira, Suleiman Jafo.
Timu hiyo ilikuwa imepewa jukumu la kuchunguza sababu ya uchafuzi wa mazingira ambao umezua wasiwasi kufuatia vifo vya baadhi ya viumbe hai hasa samaki. Rangi ya maji katika mto Mara ilibadilika.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.