Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Njinsia Wazee na Watoto Dkt.Dorothy Gwajima amempongeza Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa kwa Utashi wake wa kukusudia kuigawanya Wizara ya Afya amesema kuwa kutokana maagizo ya mkutano wa June 8 2021 jijini Dodoma Wizara zinazoshughulikia maswala ya Jinsia upande wa Tanzabnia Bara na Zanzibar ilianza kulifanyia kazi agizo kwa kuhakikisha kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatimiza ahadi yake ya kuwa kinara katika eneo la haki na usawa wa kiuchumi nchini ambapo wanawake na wanaume watakuwa na fursa na haki sawa katika kunufaika na uwezeshaji kiuchumi.
Pamoja na kuzindua Kamati hii leo, Wizara pia imeweza kuratibu uandaliwaji wa Mpangokazi Jumuishi na Shirikishi wa Taifa.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.