Kwanza kabisa asante sana mzee wetu msaafu Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutuletea watanzania 'JEMBE' (Rais John Magufuli), pili asante kwa upendo wako kwa wasanii wetu na hata kujitokeza kwenye uzinduzi wa album yake Harmonize, Ewe mwenyezi MUNGU azidi kumimina baraka za hekima na upendo ili zifanyike neema kwa wana wa taifa hili.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.