Rais John Magufuli leo amemteua Mathias Kabunduguru kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, akichukua nafasi ya Hussein Katanga aliyeteuliwa kuwa Balozi, Ikulu imesema.
CRDB YAADHIMISHA MEI MOSI KITAIFA NJOMBE
-
*Na Mwandishi Wetu*
*Njombe. CRDB Bank Plc imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuunga mkono
wafanyakazi na maendeleo ya taifa kwa kudhamini na kushirik...
0 comments:
Post a Comment