ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, October 19, 2019

HESABU KALI ZATUMIKA KWA SERIKALI KUMALIMALIZA 'SHESHE' LA WACHIMBAJI WADOGO MISUNGWI


Hatimaye Serikali imeruhusu shughuli za uchimbaji dhahabu kuendelea katika machimbo ya Shilalo yalilopo katika wilayani Misungwi mkoani Mwanza Baada ya kusitishwa kwa muda kutokana na mvutano uliokuwepo.

October 07mwaka huu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella alisitisha uchimbaji wa dhahabu katika maduara38 kati ya57 ili kutafuta muafaka mara baada ya kuzuka mzozo mkubwa bkati ya mmiliki wa ardhi eneo la mgodi, wachimbaji wadogo pamoja na mtu anayedaiwa kuwa mwekezaji mpya aliyefika kwenye eneo hilo akidai kuwa wampishe kwani ndiye mwenye leseni.

 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akizungumza kwenye mkutano baina ya Waziri wa Madini na wachimbaji wadogo wa dhahabu Shilalo wilayani Misungwi.
 Waziri wa Madini, Doto Biteko akizungumza kwenye mkutano huo.
 Mbunge wa Jimbo la Misungwi, Charles Kitwanga akitoa salamu zake kwenye mkutano huo.
 Baadhi ya wachimbaji wadogo wa dhahabu wakifuatilia mkutano huo.
 Baadhi ya wachimbaji wadogo wa dhahabu wakifuatilia mkutano huo.
 Waakiwa na bango lao ni baadhi ya wachimbaji wadogo wa dhahabu wakifuatilia mkutano huo.


Machimbo ya Shilalo yanakadiriwa kuajiri zaidi ya wananchi elfu 6 wanaotegemea mgodi huo kuendesha maisha yao ya kila siku

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.